
Wezesha viziwi kujikwamua kimaisha!
Reference No: 100200012
Wezesha viziwi kujikwamua kimaisha ni kampeni ambayo ina malengo ya kuwasaidia viziwi kupatia ujuzi na kuhakikisha ndoto zao zitatimizwa kazi za kujiajiri. dhumuni lake kubwa la kampeni hii ni kuchangia ununuzi wa vifaa vya kufanyia kazi na malighafi kwa ajili ya utengenezaji wa viatu vya kiasili na ushonaji nguo kwa namna ya kujifunza.stadi la biashara na maisha.
katika kufanikisha zoezi hili unaombwa kuchangia kuanzia kiasi cha shilingi mia mbili (sh 200/=) na kuendelea kutokana na uwezo wako.
Donated: 1,000 TZS
Goal: 5,100,000 TZS
Goal: 5,100,000 TZS
Donation time is due
Supporters: 1
Kuwawezesha viziwi kijamii na kiuchumi ili kupunguza hali ya umasikini.