Tuijenge Masjid Barkat Orphanage center kwa pamoja

Tuijenge Masjid Barkat Orphanage center kwa pamoja

Reference No: 10021267


Taasisi ya Youth shade foundation inakuribisha/kualika  kuchangia fedha kwaajili ya ukarabati Pamoja na kununua maitaji kama Chakula, Mavazi, vitanda , magodoro, vifaa vya shule kwa ajili ya Kituo cha watoto yatima kiitwacho Masjid Barkat orphanage center  Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Kilichopo Mkoani Dar es Salaam  Wilaya ya Kigamboni Mwembe Mdogo Mtaa wa ukooni. Kilicho teketea  kwa Moto siku ya tarehe 27/11/2019.Watoto Wako salama lakini mali zao zote zimeteketea, Wamebaki na Nguo walizokua wamevaa siku ya Tukio. Kwa sasa watoto wanalala Msikitini toka siku ya tukio hadi leo hii, Tunaomba Kila alikuswa kuweza kuchangia Wasiliana nasi kupitia namba 

  1. Brian Mlingi +255 67 235 8189 
  2. Beatrice Nkoo +255657744289 

Donated: 12,000 TZS
Goal: 15,000,000 TZS
0.08% Donated
Donation time is due
Supporters: 4

Recent Donations

255757****03
2,000 TZS

3 years ago Share


255744****50
5,000 TZS

3 years ago Share


255652****19
2,000 TZS

3 years ago Share


255672****89
3,000 TZS

3 years ago Share


Brian Mlingi

Social:   
  0672358189
   brianmlingi20@hotmail.com


Fundraising for repairing house and buying of new supplies for Masjid Barkat Orphanage center that burned down due to Fire accident

Leaderboard

1

5,000 TZS

255744****50 3 years ago
2

3,000 TZS

255672****89 3 years ago
3

2,000 TZS

255652****19 3 years ago
4

2,000 TZS

255757****03 3 years ago