Afya Kwanza.

Afya Kwanza.

Reference No: 100200013


Taasisi isiyo ya kiserikali ya Tai Tanzania inayojishughulisha na utoaji wa elimu juu ya masuala mbalimbali kupitia katuni za chapa tatu, inalenga kufadhili wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu hususani wasichana, katika shule ya Sekondari Mongola, iliyopo Morogoro. Ufadhili huo utajumuisha ugawaji wa barakoa kwa ajili ya kujikinga na Uviko-19, taulo za kike (pedi), na sabuni. 
Mnamo mwaka jana tulifanikiwa kufadhili wanafunzi 16 wa kidato cha 4 mahitaji yao ya shule tukishirikiana na Kipaji Foundation, na wote walifanikiwa kufaulu vizuri. Na mwaka huu tunalenga kufikisha kiasi cha shilingi million mbili(2,000,000) ili kuweza kugawa vifaa hivyo kwa wanafunzi  wenye uhitaji na kuwapa elimu juu ya masuala ya afya.

Donated: 38,000 TZS
Goal: 2,000,000 TZS
1.90% Donated
Donation time is due
Supporters: 4

Recent Donations

255752****81
15,000 TZS

1 year ago Share


255763****52
20,000 TZS

1 year ago Share


255747****02
2,000 TZS

1 year ago Share


255743****06
1,000 TZS

1 year ago Share


Tai Tanzania

Social:   
Tai Tanzania   0743 300 006
   tai.info.org@gmail.com


Tai Tanzania ni shirika lisilo la kiserikali linalotumia teknolojia ya media kutoa taarifa juu ya maswala ya afya, elimu na haki za kijamii. Tai Tanzania inazingatia kutoa elimu bora kwa jamii, Tunatumia katuni chapa tatu (3D animations) kufikisha ujumbe kwa hadhira husika, ambao ni wasichana na wavulana waliopo katika rika balehe.

Leaderboard

1

20,000 TZS

255763****52 1 year ago
2

15,000 TZS

255752****81 1 year ago
3

2,000 TZS

255747****02 1 year ago
4

1,000 TZS

255743****06 1 year ago